Zechariah 2:1-2

Maono Ya Tatu: Mtu Mwenye Kamba Ya Kupimia

1Kisha nikatazama juu: pale mbele yangu alikuwepo mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake! 2 aNikamuuliza, “Unakwenda wapi?”

Akanijibu, “Kupima Yerusalemu, kupata urefu na upana wake.”

Copyright information for SwhKC